Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ugumu wa maisha na jinsi tunavyo ishi nahisi tujapigwa matukio ya kutosha ukilinganisha na nchi zengine zenye human traffic.
Mfano Mexico, USA, india Russian nchi zenye magaidi au vita watoto utekwa sana ubakwa, kuuzwa viungo, ushirikina na kuuzwa kwa matumizi ya kingono na mengine.
Tuje kwa wazazi tuliowengi ni kama ukishazaa unaona umemaliza kazi pale ukishaona mtoto anatembeea na kuongea ilo ni kosa sana.
mfano sehemu zenye kipato cha chini yani au masha chini.
nyinyi yani unakuta mtoto anatumwa dukani utazani umri wake unaruhusu, jambo lengine watoto wanazurura mda wajioni na hakuna anayejali.
Uwangalizi wa watoto ni mdogo sana ususani na Maisha yetu.
Kuna sifa hizi yani mtoto anasoma shule ambayo hata uwezo wa kumlipia school bus awezi.
Nimekasilika baada kufika mbagara kujionea haya jioni hii