Kama wazazi, walezi na wananchi ni sisi kuangaliana kulinda watoto maana hakuna msaada mwengine kwa kipindi hiki watoto kupotea

Kama wazazi, walezi na wananchi ni sisi kuangaliana kulinda watoto maana hakuna msaada mwengine kwa kipindi hiki watoto kupotea

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Ugumu wa maisha na jinsi tunavyo ishi nahisi tujapigwa matukio ya kutosha ukilinganisha na nchi zengine zenye human traffic.

Mfano Mexico, USA, india Russian nchi zenye magaidi au vita watoto utekwa sana ubakwa, kuuzwa viungo, ushirikina na kuuzwa kwa matumizi ya kingono na mengine.

Tuje kwa wazazi tuliowengi ni kama ukishazaa unaona umemaliza kazi pale ukishaona mtoto anatembeea na kuongea ilo ni kosa sana.

mfano sehemu zenye kipato cha chini yani au masha chini.

nyinyi yani unakuta mtoto anatumwa dukani utazani umri wake unaruhusu, jambo lengine watoto wanazurura mda wajioni na hakuna anayejali.

Uwangalizi wa watoto ni mdogo sana ususani na Maisha yetu.

Kuna sifa hizi yani mtoto anasoma shule ambayo hata uwezo wa kumlipia school bus awezi.

Nimekasilika baada kufika mbagara kujionea haya jioni hii
 
kutoka nyumbani na kurudi salama ni jambo la kumshukuru mungu
 
Wanapotelea wap ila wahusika wapo na serikali imekaa kimya nini maana ya serikali ina mkono mrefu...
 
Wanapotelea wap ila wahusika wapo na serikali imekaa kimya nini maana ya serikali ina mkono mrefu...
Raisi na IGP wanasema drama. Tujisaidie wenyewe ili tupambane na ili. Siku ukipotelewa na ndugu yako watakwambia subiri masaa 24
 
Back
Top Bottom