Kama wazazi wetu ni Adam na Hawa, kwanini kuna races tofauti duniani?

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Waafrica, wachina wahindi, wakorea, warusi, wazungu na waarabu. Ukiwaangalia wawa wote unaweza kuwatambua kwa race zao kutokana na kutofautiana kwao.

Ni kwa nini ipo hivi kama origin yetu ni moja (adam na hawa)?

Ni kwa nini hapa africa kwa mfano, kusingekuwa na mchanganyiko wa races kwa asili na sio kwa kuamia?

Karibuni wajuzi
 
Hiyo yote inatokana hali ya hewa ya sehemu tofauti tofauti
 
Asili yetu ni nyani🦍 sisi ni manyani wewe na mimi ila ni 🦍🦍waliostarabika jiangalie wewe afu mwangalie nyani utadhani ni pacha mwenzako.
 
Back
Top Bottom