crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Hiyo yote inatokana hali ya hewa ya sehemu tofauti tofautiWaafrica, wachina wahindi, wakorea, warusi, wazungu na waarabu. Ukiwaangalia wawa wote unaweza kuwatambua kwa race zao kutokana na kutofautiana kwao.
Ni kwa nini ipo hivi kama origin yetu ni moja (adam na hawa)?
Ni kwa nini hapa africa kwa mfano, kusingekuwa na mchanganyiko wa races kwa asili na sio kwa kuamia?
Karibuni wajuzi
Acha uongo buana😅😅Hiyo yote inatokana hali ya hewa ya sehemu tofauti tofauti
Kwa hiyo mzee una bonge la mkia ?Asili yetu ni nyani🦍 sisi ni manyani wewe na mimi ila ni 🦍🦍waliostarabika jiangalie wewe afu mwangalie nyani utadhani ni pacha mwenzako.
Kumbuka nimesema wewe na mimi ni🦍🦍Kwa hiyo mzee una bonge la mkia ?
Aaah kwahyo mzungu akija Bongo anakua mweusiHiyo yote inatokana hali ya hewa ya sehemu tofauti tofauti