Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde.
Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia madaraka vibaya hakuna aliyemchukulia hatua.
Je, wasanii wengine na watangazaji tunaowaona wanajipendekeza kwa wanasiasa wanapitia madhila makubwa kiasi gani? Ni lini watapata forum yakueleza wanayofanyiwa hadi kukubali kuwa chawa?
Unyanyasaji huu utaendelea hadi lini? Unamwona mtu ana umaarufu kumbe kuna mapito magumu anapitishwa na wafanyabiashara au wanasiasa......
Tuanze kuwafariji chawa kuliko kuwaponda; wanafanyiwa ukatili mkubwa sana na kwakuwa wanataka pesa inabidi wawe wavumilivu.