Makonda ni mdogo sana siyo kiumri tu, bali hata kwa cheo. Hivyo hana sifa wala hadhi ya kumtaja waziri mkuu kwa muktadha wa kumuamrisha. Eti anampq PM miezi 6 awe amemaliza migogoro ya ardhi. Eboo!
PM akigoma kutekeleza hayo maagizo Makonda atamfanya nn? Mdomo wa Makonda ufungwe breki ili awe na heshima kwa viongozi wa nchi. PM ni mtu muungwana na mchapakazi sana. Asibagazwe kizembe hiv.
Halafu mwambieni Makonda ya kwamba uongozi siyo kufokafoka na kuwatishia wengine. Uongozi ni kuonesha njia.
By the way atoke hadharani na kuzitolea ufafanzi tuhuma nyingi zinazomkabili.