Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
KyanyariMakonda mganga wake wa kule nyanguge ni noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KyanyariMakonda mganga wake wa kule nyanguge ni noma
Hebu tulieni hivi vitu havitokei kwa bahati mbaya!Makonda ni mdogo sana siyo kiumri tu, bali hata kwa cheo. Hivyo hana sifa wa kumtaja waziri mkuu kwa muktadha wa kumuamrisha...
Makonda hatumiwi na Rais.huyu kutokana na ukilaza wake anatumiwa na ccm nzima ili kuwapa hofu watu fulani, wawe nje ya ccm au ndani ya CCM.Sina hakika sana kama Makonda anatumiwa na watu...
Hata saa mbovu huonyesha wakati sahihi mara mbili kwa siku.Sina hakika sana kama Makonda anatumiwa na watu.
Rais wa Tanzania hana kabisa haja ya kutumia proxies kumwondoa mtu ambaye anamteua yeye.
Makonda ni loose cannon tu.
A loose cannon going rogue, ought to be expected and shouldn’t be that surprising.
Samia can easily get rid of the PM.Hata saa mbovu huonyesha wakati sahihi mara mbili kwa siku.
Kuna kipindi hata vibovu huwa na matumizi yake.
You'd be amazed at how a loose cannon can become handy at a time of dire need in a battle when all proper weapons have failed.
Given her numerous portrayal of disdain towards him, I doubt it's as easy as we are made to believe.Samia can easily get rid of the PM.
She doesn’t need proxies to achieve that.
HawamtaKiKweli mkuu mimi sio mfuatiliaji wa siasa ila naona kama wanamdhalilisha , na kwa serikali hii ndio mtu ambae hata mimi mwananchi wa kawaida namuona anapiga kazi sana , huyu angepata kashfa yoyote wangemtoa hata ngozi hadharani
Very true bro kwa sisi watu wa kawaida hayo ndio mawazo yetu wanamfrustrate kwa kila namnaHawamtaKi
1.wamempa naibu waziri mkuu
2.wameona hajiuzulu wamemtuma makonda🤣🤣🤣🤣💺
Msiomfahamu Majaliwa mnaweza kudhani anaonewa...Makonda ni mdogo sana siyo kiumri tu, bali hata kwa cheo. Hivyo hana sifa wa kumtaja waziri mkuu kwa muktadha wa kumuamrisha...
Msiomfahamu Majaliwa mnaweza kudhani anaonewa...Makonda ni mdogo sana siyo kiumri tu, bali hata kwa cheo. Hivyo hana sifa wa kumtaja waziri mkuu kwa muktadha wa kumuamrisha...
Subwenga!Makonda hatumiwi na Rais.huyu kutokana na ukilaza wake anatumiwa na ccm nzima ili kuwapa hofu watu fulani, wawe nje ya ccm au ndani...
Mm! Anampallia wakati anamdhalilisha hadharani?Kwa jicho la kisomi makonda anampalilia pm kisiasa aanze kuonekana kama reincarnation ya JPM kwenye utawala wa mama!!
Umeongea ukweli mtupuu.Tatizo wanaopaswa kumnyamazisha ndio waliompa ruhusa ya kuzungumza.
Makonda kwa tamaa zake za kingese linakubali kutumika kama chambo siku zote.
Ipo siku katika uhai huu huu li Makonda litakaa gerezani.
VP katika familia yenu labdq.Haitajiki wap?
Ujui ndio VP Ajae?
Jiandae kushangaa zaidi
Ajiuzuru tuu anadhaliliswa😂😂🤣🤣💺Kasim anajalo pesa kuliko heshima yake