Kama Waziri Mkuu hahitajiki basi mwambieni tu. Hivi vitimbi dhidi yake hastahili

Kama Waziri Mkuu hahitajiki basi mwambieni tu. Hivi vitimbi dhidi yake hastahili

Makonda ni mdogo sana siyo kiumri tu, bali hata kwa cheo. Hivyo hana sifa wa kumtaja waziri mkuu kwa muktadha wa kumuamrisha. Eti anampq PM miezi 6 awe amemaliza migogoro ya ardhi. Eboo!

PM akigoma kutekeleza hayo maagizo Makonda atamfanya nn? Mdomo wa Makonda ufungwe breki ili awe na heshima kwa viongozi wa nchi. PM ni mtu muungwana na mchapakazi sana. Asibagazwe kizembe hiv.

Halafu mwambieni Makonda ya kwamba uongozi siyo kufokafoka na kuwatishia wengine. Uongozi ni kuonesha njia.

By the way atoke hadharani na kuzitolea ufafanzi tuhuma nyingi zinazomkabili.
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
kilaza wewe Majaliwa ameagizwa na Chama Makonda ni msemaji tu wa itikadi falsafa na dhima ya Chama
Kwahiyo mambo ya migogoro ya ardhi ni ya chama au serikali? Hata huko kichama bado PM yuko juu zaidi ya huyu nyamitakoo baba keegan

Acheni kumbeza PM, km hamu mtaki mumlazimishe ajiuzuru km Ndugai, khaaa.
 
Makonda hatumiwi na Rais.huyu kutokana na ukilaza wake anatumiwa na ccm nzima ili kuwapa hofu watu fulani, wawe nje ya ccm au ndani ya ccm.
Mwenyewe anajiona mwamba ile kuambiwa mala kachelo sijui, na ile miwani hake ya kuchomea.
Mwisho wa siku ccm wajanja walioenda shule kidogo wanamchinjia bahalini.
Na hata ulisi haambulii 😂😂😂
 
Ukiona kifaranga juu ya pipa ujue mama yake yupo karibu.
 
Kweli mkuu mimi sio mfuatiliaji wa siasa ila naona kama wanamdhalilisha , na kwa serikali hii ndio mtu ambae hata mimi mwananchi wa kawaida namuona anapiga kazi sana , huyu angepata kashfa yoyote wangemtoa hata ngozi hadharani
For that matter he Is an outlier... does not fit well with the rest
 
Back
Top Bottom