Yaani ! Mara kawekewa naibu, mara Makonda naye anakuja kumuamrisha. Haipendezi.Kweli mkuu mimi sio mfuatiliaji wa siasa ila naona kama wanamdhalilisha , na kwa serikali hii ndio mtu ambae hata mimi mwananchi wa kawaida namuona anapiga kazi sana , huyu angepata kashfa yoyote wangemtoa hata ngozi hadharani
KabisaKweli mkuu mimi sio mfuatiliaji wa siasa ila naona kama wanamdhalilisha , na kwa serikali hii ndio mtu ambae hata mimi mwananchi wa kawaida namuona anapiga kazi sana , huyu angepata kashfa yoyote wangemtoa hata ngozi hadharani
Itakuwa hujaielewa mada. Acha kuvuta mibange kisha soma tenaHaitajiki wap?
Ujui ndio VP Ajae?
Jiandae kushangaa zaidi
Wakati huo P atakua nani mkuu?Haitajiki wap?
Ujui ndio VP Ajae?
Jiandae kushangaa zaidi
Ukiolewa utaacha kuamini Kila mtu ni mbugia midawa kama weweItakuwa hujaielewa mada. Acha kuvuta mibange kisha soma tena
Wakati huo P atakua nani mkuu?
Ungelikuwa Mwanasiasa ungelijua kuwa mamlaka yooooote ya Kiongozi wa Serikali yanaanzia kwenye chama chake cha siasa.Makonda ni mdogo sana siyo kiumri tu, bali hata kwa cheo. Hivyo hana sifa wa kumtaja waziri mkuu kwa muktadha wa kumuamrisha. Eti anampq PM miezi 6 awe amemaliza migogoro ya ardhi. Eboo...
kilaza wewe Majaliwa ameagizwa na Chama Makonda ni msemaji tu wa itikadi falsafa na dhima ya ChamaMakonda ni mdogo sana siyo kiumri tu, bali hata kwa cheo. Hivyo hana sifa wa kumtaja waziri mkuu kwa muktadha wa kumuamrisha...
Jamaa anajua sn udhaifu wa system yetuMakonda mganga wake wa kule nyanguge ni noma
Makonda kwenye hili kapwaya sana sera za majukwaani huwa hazifaniwi kwasababu siyo za kitaalamuMakonda ni mdogo sana siyo kiumri tu, bali hata kwa cheo. Hivyo hana sifa wa kumtaja waziri mkuu kwa muktadha wa kumuamrisha...