Kama Waziri Mkuu hahitajiki basi mwambieni tu. Hivi vitimbi dhidi yake hastahili

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
kilaza wewe Majaliwa ameagizwa na Chama Makonda ni msemaji tu wa itikadi falsafa na dhima ya Chama
Kwahiyo mambo ya migogoro ya ardhi ni ya chama au serikali? Hata huko kichama bado PM yuko juu zaidi ya huyu nyamitakoo baba keegan

Acheni kumbeza PM, km hamu mtaki mumlazimishe ajiuzuru km Ndugai, khaaa.
 
Na hata ulisi haambulii 😂😂😂
 
Ukiona kifaranga juu ya pipa ujue mama yake yupo karibu.
 
Kweli mkuu mimi sio mfuatiliaji wa siasa ila naona kama wanamdhalilisha , na kwa serikali hii ndio mtu ambae hata mimi mwananchi wa kawaida namuona anapiga kazi sana , huyu angepata kashfa yoyote wangemtoa hata ngozi hadharani
For that matter he Is an outlier... does not fit well with the rest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…