Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Kuna uzi humu unasema KAZI GANI ULIFANFA ULIPOPITIA MSOTO humo ndio utajua watu majasiri na wamepitia magumu ila wanapambana hadi kielewekeInategemea na wewe jinsi ulivyo wengine unaweza kusema Wana roho/miili mepesi
Hawawezi kukabiliana na changamoto
Na haswa Hao wanahitaji msaada
Ila Kuna watu humu wakisema watiririke kwa waliyoyapitia kwenye Maisha"unaeza kusema mbona hawajaamua kuchukua uamuzi wa kujitoa uhai" unakuta mtu una makesi, una matatizo ya kifamilia, una matatatizo ya kifedha, mambo hayaendi lkn unakomaa tu
Ila nachojua watu tumeumbwa tofauti na ulilelewa ktk malezi gani?
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wangepitia Uzi ule wangejifunza mengi na kuacha hayo mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app