Pokea like yangu
Sent using
Jamii Forums mobile app
Samahani ndugu..ikiwezekana weka wazi ugonjwa huenda ukapata msaada!...mm niliteseka na pumu (tena hata madk hawakuwah sema naumwa pum)kwa zaidi ya miaka 17!..nilienda hosp zote bila kupata majibu...later walokole wakawa introduced kwangu wakaanza nikemea mapepo hayjawahi hata amka zaidi ya kuaniachia maumivu ya kichwa...! Sikuwahi fikiria kabisa km ntakuja kupona kupitia jf!
Nikijitenga kabisa na watu...maana nilikua nakohoa hadi kupee...
Nilikua navaa pedi kwa muda km 6mths( hakuna adhabu kubwa km hyo kwa mwanamke)sio mp bali kukohoa hadi unapee...
Nilikua nna macho mekundu km navuta bangi..muda wote pua zimevimba zinachuruzisha mafua
Area yote ya usoni ilikua inawasha na kuvimba!
Imagine hapo unanyonyesha...hakuna msaada..hakuna anayekujari .ni ww kujibebea kikadi chako cha bima na kwenda hosp...ilifika hatua dk akiandika dawa naisoma kwanza namwambia hii nishatumia dk nipe kali zaidi!
Lenses zote mm nimevaa.. Hakuna hata chembe ya uponaji!
Bodaboda ilikua km kifo kwangu(upepo)...kupanda daladala kukaa dirishan jua usk mtakesha!
Imagine unalala unaweka taulo ili usiharibu godoro??? Nilikua nakuwa vyema siku 3 siku 4 hoi kwa kukohoa kikohozi kikavu mno!
Nikakatwa kilimi(hii inaniuma had leo😭)
Lakini ajabu niliwah eleza shida yangu hii humi jf kuna mshikaj akanifata pm..mwe since then ni histry...napanda boda had lisaa .mvua inanyesha nanyeshewa sina shaka nakula red meat kwa raha zote .walinikataza had soda ..mafuta kupikia...yaan vurugu zote nilikatazwa nistumie!
Leo hii mimi mzima..nna 3yrs nw! Speak it out kaka!