Ni kweli ila kuna muda yanazidiPole sana daviie, Usichoke kuomba huruma ya Mwenyezi Mungu ipo siku atakupatia ahueni na kwa maombezi ya Mt. Yuda Tadei usifikiri hata siku moja kwamba bwana amekuacha!!
Magumu ni sehemu ya maisha ya mwanadamu huku duniani, usikate tamaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa kuna muda magumu yanazidi mpaka unatamani hata kufa lakini huna jinsi na uwezo wa kuyatatu huna pia, kuliko kukata tamaa ni heri kuendelea kumtumainia Mungu tu mfanye awe mwamuzi wako wa mwisho!
Mbona yule marehemu wa JF alijieleza sana na alikosa watu wa kumfariji? Maana kama kujieleza tu changamoto zake na hata mara ngapi alijaribu kujiua na akapona alieleza. Basi tu kujiua ni kwamba sikio la kufa halisikii dawaMkuu kujiua sio matokeo ya ugumu wa maisha,ni matokeo ya mtazamo wetu kuhusu maisha na mambo yote tunayodeal nayo.Wengi wanaofikia kujiua huwa wanashindwa/wanakosa mtu wa kuzungumza nae na kumueleza yale yanayowasibu,Wengine wanahitaji msaada wa kitaaluamu kwa sababu ya Msongo wa mawazo.
Binafsi natambua kwamba kama mtu ameshafikia hatua ya kujinnyonga/kujiua basi anahitaji msaada tena msaada mkubwa sana na mara nyingi ni msaada wa kitaalam zaidi kuliko kutatuliwa shida yake kwani tatizo sio shida yake tatizo ni mtazamo wake kuhusu shida yake.
Ndio maana kuna wanaojiua kwa sababu ya mapenzi,kukosa cheo,kunyimwa kile wanachokitaka,kuulizwa kuhusu mienendo yao.etc.Ni tatizo la jinsi tunavyo yashughulikia mambao yetu hasa kimtazamo.
Ukajiue Botswana utupe gharama ya kukusafirisha loh mbaya wewe[emoji28][emoji28], kiukweli mwanangu ndo ananipa nguvu ya kuishi, isingekua yeye nahisi ningekuwa mbali sehemu hakuna mtu ananijua no mawasilianoMimi pia niliwahi pata stress...! 4yrs back...nilijichukia nikachukia kila kitu..ila mm sikuwa napanga kujiua Tz[emoji28]..nilipanga niondoke niende botswana nikifika kule ndo nijiue...lahaula nikamwambia sisy...akayafikisha home..! Since then sitajaribu kuwaza haya ..! Nitaumiza wanangu! Tusijiue best...!
Kila la kherii
yess BiShoo haswaaAaa
Ehee mkuu andoza umezngmza vizur sana.Mtoa ushauri nasaha ni mtu anayetakiwa kuheshimiwa, pia kitengo hiki kiwe na watu wenye uoni binafsi(kujiongeza).Mtia ushauri unatakiwa kwanza uzame kwenye hisia za mtu kisha utoke(ujivue shida za muhusika) ndo uanze kumshaur kama jasiri sasa.Mkuu kujiua sio matokeo ya ugumu wa maisha,ni matokeo ya mtazamo wetu kuhusu maisha na mambo yote tunayodeal nayo.Wengi wanaofikia kujiua huwa wanashindwa/wanakosa mtu wa kuzungumza nae na kumueleza yale yanayowasibu,Wengine wanahitaji msaada wa kitaaluamu kwa sababu ya Msongo wa mawazo.
Binafsi natambua kwamba kama mtu ameshafikia hatua ya kujinnyonga/kujiua basi anahitaji msaada tena msaada mkubwa sana na mara nyingi ni msaada wa kitaalam zaidi kuliko kutatuliwa shida yake kwani tatizo sio shida yake tatizo ni mtazamo wake kuhusu shida yake.
Ndio maana kuna wanaojiua kwa sababu ya mapenzi,kukosa cheo,kunyimwa kile wanachokitaka,kuulizwa kuhusu mienendo yao.etc.Ni tatizo la jinsi tunavyo yashughulikia mambao yetu hasa kimtazamo.
Ukajiue Botswana utupe gharama ya kukusafirisha loh mbaya wewe[emoji28][emoji28], kiukweli mwanangu ndo ananipa nguvu ya kuishi, isingekua yeye nahisi ningekuwa mbali sehemu hakuna mtu ananijua no mawasiliano
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukajiue Botswana utupe gharama ya kukusafirisha loh mbaya wewe[emoji28][emoji28], kiukweli mwanangu ndo ananipa nguvu ya kuishi, isingekua yeye nahisi ningekuwa mbali sehemu hakuna mtu ananijua no mawasiliano
Sent using Jamii Forums mobile app
hii dunia ina vitimbwi sana duuhSamahani ndugu..ikiwezekana weka wazi ugonjwa huenda ukapata msaada!...mm niliteseka na pumu (tena hata madk hawakuwah sema naumwa pum)kwa zaidi ya miaka 17!..nilienda hosp zote bila kupata majibu...later walokole wakawa introduced kwangu wakaanza nikemea mapepo hayjawahi hata amka zaidi ya kuaniachia maumivu ya kichwa...! Sikuwahi fikiria kabisa km ntakuja kupona kupitia jf!
Nikijitenga kabisa na watu...maana nilikua nakohoa hadi kupee...
Nilikua navaa pedi kwa muda km 6mths( hakuna adhabu kubwa km hyo kwa mwanamke)sio mp bali kukohoa hadi unapee...
Nilikua nna macho mekundu km navuta bangi..muda wote pua zimevimba zinachuruzisha mafua
Area yote ya usoni ilikua inawasha na kuvimba!
Imagine hapo unanyonyesha...hakuna msaada..hakuna anayekujari .ni ww kujibebea kikadi chako cha bima na kwenda hosp...ilifika hatua dk akiandika dawa naisoma kwanza namwambia hii nishatumia dk nipe kali zaidi!
Lenses zote mm nimevaa.. Hakuna hata chembe ya uponaji!
Bodaboda ilikua km kifo kwangu(upepo)...kupanda daladala kukaa dirishan jua usk mtakesha!
Imagine unalala unaweka taulo ili usiharibu godoro??? Nilikua nakuwa vyema siku 3 siku 4 hoi kwa kukohoa kikohozi kikavu mno!
Nikakatwa kilimi(hii inaniuma had leo[emoji24])
Lakini ajabu niliwah eleza shida yangu hii humi jf kuna mshikaj akanifata pm..mwe since then ni histry...napanda boda had lisaa .mvua inanyesha nanyeshewa sina shaka nakula red meat kwa raha zote .walinikataza had soda ..mafuta kupikia...yaan vurugu zote nilikatazwa nistumie!
Leo hii mimi mzima..nna 3yrs nw! Speak it out kaka!
Habari!
Nimesikitika sana kusikia habari ya mwanaJF mwenzetu kujinyonga kisa ugumu wa maisha.
Tafsiri ya ugumu wa maisha hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kulingana na background ya mtu.
Mwingine akisema ninapitia maisha magumu anamaanisha hata kula yake ni ya kimuujiza, mwingine akisema maisha magumu ujue anamaanisha kuwa hawezi kupata mahitaji au fedha ya kufanya surplus lakini anakula na analala bila wasiwasi.
Sasa kama unawaza kujinyonga kisa hujui pa kula au hata pa kulala ni shida kwako usisite kuja PM, nitakuhoji na nikijiridhisha kuwa una hali ngumu zaidi nitakusaidia bila masharti.
Note: Swali la kwanza nitakalokuuliza ni;
Unatumia smartphone ya nani na ina gharama gani, kwanini hujaigeuza (kuiuza) kuwa mtaji wa kununua na kuuza matunda?
Ajasema Smartphone kasema Smartphone ya beigani hivi serious mtu anakulilia njaa kula yake ya leo haijui akila leo kwabati mbaya hajui kesho anaamkaje He/She know nothing about where their next meal come alafu mtu huyu ana miliki IPHONE 11 kwako nibora akae na hiyo Smartphone kuliko kuuza na kununua Tecno Spark 2 pesa aliyopata afanyie miundombinu ya kusurvive.Ulichoona wewe ni smartphone tu?
Akishauza hako katekno atakula hiyo pesa kwa miaka mingapi?
Halafu baada ya hapo anarudi tena kwenye ombwe la dhiki na njaa?
We ni mjinga tu! Huna nia wala uwezo wa kusaidia mtu yeyote!
Infact wewe ndiye unayehitaji kusaidiwa!
Usichukulie matatizo ya watu kama njia ya kujiinua kiburi chako!
PUMBAVU!