Kama we ni wa aina hii....... Unanikera sana.

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,602
Reaction score
5,809
Kuna watu huwa wananikera sana
1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali.
2. Kujifanya kila kitu anajua.
3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.
 
Bc we unawachukua karbu watz wote maana hyo namba moja ndo cfa yetu kuu
 
Tatizo ni kwamba woote wenye tabia hio hudhania hawana...
 
Kuna watu huwa wananikera sana
1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali.
2. Kujifanya kila kitu anajua.
3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.
Mind you!
Huenda mpaka hapo wewe mwenyewe unajichukia!....upo hapo?
 
Mimi wananiboa wale mtu uko serious unashusha manondo yeye anacheka tu, nimekumbana nao wengi sana kitaani na kazini wa dizaini hii .
 
Mind you!
Huenda mpaka hapo wewe mwenyewe unajichukia!....upo hapo?

nitawezaje kujichukia mwenyewe. Kwani hayo niliyotaja naweza kujifanyia mwenyewe.
 
Mimi wananiboa wale mtu uko serious unashusha manondo yeye anacheka tu, nimekumbana nao wengi sana kitaani na kazini wa dizaini hii .

hiyo ilinitokea kipindi flani nafundisha tuition, watoto badala kukusikiliza wanachekacheka.
 
Klorokwini labda tatizo ni topic ambayo hua unaongelea.....
Samtaimu tunaongelea maisha kabisa, mtu unampa mchongo unaona anacheka tuu, unamwambia niko serious anauchuna dakika 2 halaf anaanza tena upya.
 
Kuna watu huwa wananikera sana
1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali.
2. Kujifanya kila kitu anajua.
3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.

Hayo mbona yanakurudia mwenyewe. Nahisi kama wewe ndio upo hivyo humu JF. sio ugonvi.
 
topic ya reproduction.

Basi Mkuu unakosea technique... Hio topic ni moja ya topic ukifundisha, wanafunzi wanaweza kukuelewa na hawataki darasa liishe wala NO interruptions...

Samtaimu tunaongelea maisha kabisa, mtu unampa mchongo unaona anacheka tuu, unamwambia niko serious anauchuna dakika 2 halaf anaanza tena upya.

Bana lazima kuna kitu una miss kusema.... Mchongo mtu acheke... (inanifanya nianze kukupiga picha the way ulivo....lol)
 
Bana lazima kuna kitu una miss kusema.... Mchongo mtu acheke... (inanifanya nianze kukupiga picha the way ulivo....lol)
hehehe stop buffering, niko vere serious kwenye real life, huu ni uzembe wa audience tu na has nothing to do na michongo ninayowapa.
 
hehehe stop buffering, niko vere serious kwenye real life, huu ni uzembe wa audience tu na has nothing to do na michongo ninayowapa.

...........lol....... Lawyer uko makini wewe.... Khaaa!! Mtu hakudanganyi kabisa... Noamba toa mfano wa mchongo mmoja wapo ambao sio mbaya kuumwaga hapa jamvini... ili nisi buffer....
 
Hayo mbona yanakurudia mwenyewe. Nahisi kama wewe ndio upo hivyo humu JF. sio ugonvi.

unamaanisha na mimi kuna watu nawakwaza humu jf?
 
@AshaDii, hebu nijuze technics unazotumia ili nilinganishe na zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…