Kama wenye kazi tunaishi hivi, ambao hawana hivi wanaishije???

Kama wenye kazi tunaishi hivi, ambao hawana hivi wanaishije???

La Pronto

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
973
Reaction score
1,159
Najiuliza tu hapa kama nina kazi na mshahara haumalizi hata mwez na sina majukum kiviiiile, hivi ambao hawana kaz kabisa wanaoshijeeee

Au ni mimi tu na matumiz yangu!!!
 
Sio wewe tu yani ukiwa na kazi mimi ndio naona hela inatumika balaa ila usipo kuwa na kazi aaah matumizi kawaida tu
 
Najiuliza tu hapa kama nina kazi na mshahara haumalizi hata mwez na sina majukum kiviiiile, hivi ambao hawana kaz kabisa wanaoshijeeee

Au ni mimi tu na matumiz yangu!!!

Kila mtu anaishi kwa kufuata mahitajio ya kipato chake. Wewe huwezi tembea bila kuwa na chochote mfukoni walau 50'000/= kulinda mfuko lakini mwingine hiyo ni matumizi kwa mwezi. Mwingine ni mlo mmoja tu pale Morena hotel bila kinywaji. So we differ
 
Pole mkuu kila mtu anapambana na hali yake vile ilivyo
 
We unaliaje??

Mi nalia kimyakimya kuna wengine wanapiga mayowe wengina wanazimia wengine macho tu ni mekundu
Kilio chako kama changu nalia kimya kimya hata kama sina hamna mtu anayejua napambana na hali yangu tu mwenyewe kwa nini ulie kwa mayowe uwape watu wengine faida
 
Kilio chako kama changu nalia kimya kimya hata kama sina hamna mtu anayejua napambana na hali yangu tu mwenyewe kwa nini ulie kwa mayowe uwape watu wengine faida
Acha tu tunaisoma no kisawasawa
 
Back
Top Bottom