PreGE2025 Kama wenyewe wanakiri kabisaa "Oktoba tuna-tik Tu", kuna haja gani ya uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
14,521
Reaction score
46,663
Huko lumumba hakuna watu wenye Akili? Hadi wanakuja na msemo huu wa hovyo?
Yaani unasema kabisaa kuwa ikifika kipindi cha uchaguzi tutakuwa tunatick Tu Kwa upande wa CCM hii imekaaje?

Kuna haja ya kupiga kura ilhali wenyewe mnakiri hadharani kuwa hatupigi Kura zaidi ya kutick kwenye makaratasi? Watanzania tumeshuhidia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi wasimamizi wa uchaguzi walivyokuwa wanatick wagombea wao wa CCM.

Kura yangu nitailinda mwenyewe Kwa kutopiga Kura kwasababu ni Kura yangu Nina uwezo wa kuitumia au kukataa
 
5fb83bfb-4fca-419f-beb5-1b3689a90c0c.jpeg
 
Sasa kwani kwenye karatasi ya kura si huwa tunatiki au kuweka alama ya vema? Nyie watu mbona Mmepungukiwa na akili kiasi hiki?
 
no reforms no election
 
Hadi Sasa washajua mgombea serous wa Uraisi ni yupi. Hivyo kinachosubiriwa ni ✅
 
Mkuu ha
Huko lumumba hakuna watu wenye Akili? Hadi wanakuja na msemo huu wa hovyo?
Yaani unasema kabisaa kuwa ikifika kipindi cha uchaguzi tutakuwa tunatick Tu Kwa upande wa CCM hii imekaaje?

Kuna haja ya kupiga kura ilhali wenyewe mnakiri hadharani kuwa hatupigi Kura zaidi ya kutick kwenye makaratasi? Watanzania tumeshuhidia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi wasimamizi wa uchaguzi walivyokuwa wanatick wagombea wao wa CCM.

Kura yangu nitailinda mwenyewe Kwa kutopiga Kura kwasababu ni Kura yangu Nina uwezo wa kuitumia au kukataa
Mkuu hakuna, wajitangaze tu tujue moja ili kuokoa gharama na mda
 
Huko lumumba hakuna watu wenye Akili? Hadi wanakuja na msemo huu wa hovyo?
Yaani unasema kabisaa kuwa ikifika kipindi cha uchaguzi tutakuwa tunatick Tu Kwa upande wa CCM hii imekaaje?

Kuna haja ya kupiga kura ilhali wenyewe mnakiri hadharani kuwa hatupigi Kura zaidi ya kutick kwenye makaratasi? Watanzania tumeshuhidia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi wasimamizi wa uchaguzi walivyokuwa wanatick wagombea wao wa CCM.

Kura yangu nitailinda mwenyewe Kwa kutopiga Kura kwasababu ni Kura yangu Nina uwezo wa kuitumia au kukataa
Wamekwambia unatick kwa chama gani? Huu ni mkurupuko.
 
n
Sasa kwani kwenye karatasi ya kura si huwa tunatiki au kuweka alama ya vema? Nyie watu mbona Mmepungukiwa na akili kiasi hiki?
Kwani mkitaka kuiba Kura huwa mnafanyaje zaidi ya kutick alama ya vema?
Ili Kura yangu ibesabiwe kuwa ni Halali ni lazima iwe na alama ya tick Kwa mgombea ninayemtaka
 
Sasa hutaki wana CCM wamuwekee tiki mgombea wao? Mko sawa kweli?
 
Sasa mzee unataka watulie kimya wasijifariji?

Hii ndiyo nzuri..

Waendelee na kampeni yao ya TUNATIKI☑ na sisi wa kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION tuendelee na kampeni itakayoshinda ndio ipewe ushindi

Kinachotakiwa, kampeni yao wasihusishe kututeka na kutuua. Tupambane kwa hoja..

Nadhani hii ni nzuri

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissuNow
#OpenGCTCNow
#BringBackMdudeNyagali
#BringBachDeusSoka
 
Back
Top Bottom