PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Sasa kwani kwenye karatasi ya kura si huwa tunatiki au kuweka alama ya vema? Nyie watu mbona Mmepungukiwa na akili kiasi hiki?Huko lumumba hakuna watu wenye Akili? Hadi wanakuja na msemo huu wa hovyo?
Yaani unasema kabisaa kuwa ikifika kipindi cha uchaguzi tutakuwa tunatick Tu Kwa upande wa CCM hii imekaaje?
Kuna haja ya kupiga kura ilhali wenyewe mnakiri hadharani kuwa hatupigi Kura zaidi ya kutick kwenye makaratasi? Watanzania tumeshuhidia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi wasimamizi wa uchaguzi walivyokuwa wanatick wagombea wao wa CCM.
Kura yangu nitailinda mwenyewe Kwa kutopiga Kura kwasababu ni Kura yangu Nina uwezo wa kuitumia au kukataa
no reforms no electionHuko lumumba hakuna watu wenye Akili? Hadi wanakuja na msemo huu wa hovyo?
Yaani unasema kabisaa kuwa ikifika kipindi cha uchaguzi tutakuwa tunatick Tu Kwa upande wa CCM hii imekaaje?
Kuna haja ya kupiga kura ilhali wenyewe mnakiri hadharani kuwa hatupigi Kura zaidi ya kutick kwenye makaratasi? Watanzania tumeshuhidia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi wasimamizi wa uchaguzi walivyokuwa wanatick wagombea wao wa CCM.
Kura yangu nitailinda mwenyewe Kwa kutopiga Kura kwasababu ni Kura yangu Nina uwezo wa kuitumia au kukataa
Mkuu hakuna, wajitangaze tu tujue moja ili kuokoa gharama na mdaHuko lumumba hakuna watu wenye Akili? Hadi wanakuja na msemo huu wa hovyo?
Yaani unasema kabisaa kuwa ikifika kipindi cha uchaguzi tutakuwa tunatick Tu Kwa upande wa CCM hii imekaaje?
Kuna haja ya kupiga kura ilhali wenyewe mnakiri hadharani kuwa hatupigi Kura zaidi ya kutick kwenye makaratasi? Watanzania tumeshuhidia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi wasimamizi wa uchaguzi walivyokuwa wanatick wagombea wao wa CCM.
Kura yangu nitailinda mwenyewe Kwa kutopiga Kura kwasababu ni Kura yangu Nina uwezo wa kuitumia au kukataa
Zipo kwenye vibegi tayari 😁Kwanza wamekwisha tick kitambo
Wamekwambia unatick kwa chama gani? Huu ni mkurupuko.Huko lumumba hakuna watu wenye Akili? Hadi wanakuja na msemo huu wa hovyo?
Yaani unasema kabisaa kuwa ikifika kipindi cha uchaguzi tutakuwa tunatick Tu Kwa upande wa CCM hii imekaaje?
Kuna haja ya kupiga kura ilhali wenyewe mnakiri hadharani kuwa hatupigi Kura zaidi ya kutick kwenye makaratasi? Watanzania tumeshuhidia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa jinsi wasimamizi wa uchaguzi walivyokuwa wanatick wagombea wao wa CCM.
Kura yangu nitailinda mwenyewe Kwa kutopiga Kura kwasababu ni Kura yangu Nina uwezo wa kuitumia au kukataa
Long long time agoZipo kwenye vibegi tayari 😁
Kwani mkitaka kuiba Kura huwa mnafanyaje zaidi ya kutick alama ya vema?Sasa kwani kwenye karatasi ya kura si huwa tunatiki au kuweka alama ya vema? Nyie watu mbona Mmepungukiwa na akili kiasi hiki?
Ni maafande tu wanasubiri kudumbukiza kwenye box huku walimu wakilinda nomaLong long time ago
Sasa hutaki wana CCM wamuwekee tiki mgombea wao? Mko sawa kweli?n
Kwani mkitaka kuiba Kura huwa mnafanyaje zaidi ya kutick alama ya vema?
Ili Kura yangu ibesabiwe kuwa ni Halali ni lazima iwe na alama ya tick Kwa mgombea ninayemtaka
Akili hawana kabisaSasa kwani kwenye karatasi ya kura si huwa tunatiki au kuweka alama ya vema? Nyie watu mbona Mmepungukiwa na akili kiasi hiki?
Hayo ni mabumunda,na ndo yanata tuyafuateSasa kwani kwenye karatasi ya kura si huwa tunatiki au kuweka alama ya vema? Nyie watu mbona Mmepungukiwa na akili kiasi hiki?