Kama wewe bado ni fukara wa kipato cha chini ya Tsh 28m kwa mwaka soma hapa

Acha kuwapa watu wasiwasi maisha ni njia tu ,kila mtu anaridhika na hali yake ...Anza na ndugu zako kwanza wanaokunya vichakati huko Arusha .
Jomba kwani ukikusanya hela zako zote kwa mwaka hazifiki 28m?
 
Maskini hapati mahitaji muhimu kikamilifu ila fukara hapati kabisa zaidi ya kuombaomba
Sasa kwa mjubu wa mleta mada watanzania 95% hawana basic necessities, jambo ambao sio kweli
 
uvccm mkishiba huwa mnaandika ushuzzy tu.
 
Watu wenye kipato cha 2m kila mwezi hapa Tanzania hawafiki 5% ya watanzania wote, kwahiyo unamanisha nchi zima ni masikini......huo utafiti wako sio sahihi kabisa
Sure Tanzania ni miongoni mwa nchi masikini hata hivyo
 
Ah huku ukishushia na mvinyo laini kwenye koo unahisi rahaa afu mbele toto mbili tatu zinakatika katika
 
Ah huku ukishushia na mvinyo laini kwenye koo unahisi rahaa afu mbele toto mbili tatu zinakatika katika
Unasahau shida zote za dunia, hukumbuki deni la baba mwenye nyumba, hukumbuki hela yenyewe uliipata kwa ugumu kiasi gani.
 
Acha niache mitoko ya kwenda pub na maeneo ya katikati ya mji na nijikite kufanya mitoko ya kula mshindi na miwa huenda "my wangu" mpenda mahindi na miwa nitampata huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…