Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Inakuwaje mke na Mme mkiwa ndani kila mtu yuko bize na simu na TV?
Ukiona hivo basi nyinyi hamuendani yaani kuna nyumba zina raha sana mke na mme ni mwendo Wa story za kucheka tu mpaka wana lala
Mfano nilikuwa nikirudi job namkuta mwenzangu naanzisha story mpaka nachoka mwenzangu hamna kit u yaani ututafikiri nyumba haina watu aisee yaani ilikuwa in a boa Mno
Ni raha sana ukipata Wa kuendana na ww inakuwa ni mwendo Wa umbeya tu mpaka mnasinzia wote
VP mwenzetu wewe story ndefu za kuchekesha na kufurahia mnapiga kwa muda gani?

halafu uondoke ukalale kwenu, uniachie ukimya wangu, peke yangu.