Kama wewe na mke wako hampigi story za umbeya basi hamuendani

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Inakuwaje mke na Mme mkiwa ndani kila mtu yuko bize na simu na TV?

Ukiona hivo basi nyinyi hamuendani yaani kuna nyumba zina raha sana mke na mme ni mwendo Wa story za kucheka tu mpaka wana lala

Mfano nilikuwa nikirudi job namkuta mwenzangu naanzisha story mpaka nachoka mwenzangu hamna kit u yaani ututafikiri nyumba haina watu aisee yaani ilikuwa in a boa Mno

Ni raha sana ukipata Wa kuendana na ww inakuwa ni mwendo Wa umbeya tu mpaka mnasinzia wote

VP mwenzetu wewe story ndefu za kuchekesha na kufurahia mnapiga kwa muda gani?
 
Ndio wewe ulimwambia mkeo sidindi akaja kutest alichokutana nacho hadi akakiri kuwa wewe ndiye ulimdanganya kwenye story zako za kimbea
 
kuna ntoto wa ntu aliniambiaga "hakuna watu wambea kama wale wanaopendana kwa dhati"

Binti wa zamani kuna ukwel hapa maana we ni pro kwenye hz mbanga?
Umbea sijui, mimi sipendi kuongelea mambo ya watu. Ila napenda sana kupiga story, kuanzisha mijadala na kuzogoa na mupenziii.

Kama hatuwezi kuwa na maongezi ya muda mrefu na hunisisimui ubongo, basi naweza kukutumia unikojoz halafu uondoke ukalale kwenu, uniachie ukimya wangu, peke yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…