KAMA WEWE Ni BABA MiAKA YA TiSINI UlIKUWa MbeYA Na UKAACHa MtOTO SoMA HAPA

KAMA WEWE Ni BABA MiAKA YA TiSINI UlIKUWa MbeYA Na UKAACHa MtOTO SoMA HAPA

lilly petet

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
144
Reaction score
22
mimi ni mwanamke naitwa Rose Mponda namtafuta baba wa binti yangu.. huyo baba nilimfahamu kwa jina moja tu la Doto kwa miaka hiyo ya tisini na nilikutana naye mara moja tu akaniacha na mimba tafadhari kama wewe ni baba na unakumbuka ushawahi kuwa na mtu anaitwa Rose uliniacha na mimba ya huyu mwanao wa kike tafadhari.. hii ni serious cas.. ni stand kuu mmbeya maeneo ya nonde
 
Namna hii ni rahisi sana kumtafuna binti yako.90 mpaka leo kashakua huyo jamaa akija tena mbeya akakutana nae hamuachi
 
Haikuhusu..... Miaka ya tisini ulikuwa wapi swahiba?

dah, miaka hiyo nilikuwa huku huku mpwapwa swahiba. wewe ndio ulikuwa umezaliwa eeh, halafu zile mambo yetu inakuwaje?? kimyaaaa
 
mimi ni mwanamke naitwa Rose Mponda namtafuta baba wa binti yangu.. huyo baba nilimfahamu kwa jina moja tu la Doto kwa miaka hiyo ya tisini na nilikutana naye mara moja tu akaniacha na mimba tafadhari kama wewe ni baba na unakumbuka ushawahi kuwa na mtu anaitwa Rose uliniacha na mimba ya huyu mwanao wa kike tafadhari.. hii ni serious cas
Mi nilikuwa mbeya miaka hiyo, vipi we ndo ulikuja kwenye umiseta? Sina mtoto huko.
 
Pole, atakuja hapa, alikuwa anasoma shule gani ?
 
dah, miaka hiyo nilikuwa huku huku mpwapwa swahiba. wewe ndio ulikuwa umezaliwa eeh, halafu zile mambo yetu inakuwaje?? kimyaaaa

We koma kunizeesha mie .... Nimezaliwa 2001 mie

Hivi si wewe ndie uko busy zaidi ya Mungu siku hizi..... Yaani bado kidogo ntaanza kukununia ujue!
 
We koma kunizeesha mie .... Nimezaliwa 2001 mie

Hivi si wewe ndie uko busy zaidi ya Mungu siku hizi..... Yaani bado kidogo ntaanza kukununia ujue!

dah, swahiba ukininunia maisha yatakuwa machungu. usinune mama, soon tutaanza kula bata hadi kuku waone wivu. cc@watu8.
 
mimi ni mwanamke naitwa Rose Mponda namtafuta baba wa binti yangu.. huyo baba nilimfahamu kwa jina moja tu la Doto kwa miaka hiyo ya tisini na nilikutana naye mara moja tu akaniacha na mimba tafadhari kama wewe ni baba na unakumbuka ushawahi kuwa na mtu anaitwa Rose uliniacha na mimba ya huyu mwanao wa kike tafadhari.. hii ni serious cas
Mbeya ni kubwa sana, kwa maelezo hayo mafupi huwezi kumpata baba wa mtoto wako
 
Bhana usinisingizie ,mi huwa nagonga ndogo tu!
 
Back
Top Bottom