lilly petet
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 144
- 22
serious halafu umeweka chit chat forum!!!!!
Haikuhusu..... Miaka ya tisini ulikuwa wapi swahiba?
Mi nilikuwa mbeya miaka hiyo, vipi we ndo ulikuja kwenye umiseta? Sina mtoto huko.mimi ni mwanamke naitwa Rose Mponda namtafuta baba wa binti yangu.. huyo baba nilimfahamu kwa jina moja tu la Doto kwa miaka hiyo ya tisini na nilikutana naye mara moja tu akaniacha na mimba tafadhari kama wewe ni baba na unakumbuka ushawahi kuwa na mtu anaitwa Rose uliniacha na mimba ya huyu mwanao wa kike tafadhari.. hii ni serious cas
dah, miaka hiyo nilikuwa huku huku mpwapwa swahiba. wewe ndio ulikuwa umezaliwa eeh, halafu zile mambo yetu inakuwaje?? kimyaaaa
Nahisi kama mimi ni muhusika.
We koma kunizeesha mie .... Nimezaliwa 2001 mie
Hivi si wewe ndie uko busy zaidi ya Mungu siku hizi..... Yaani bado kidogo ntaanza kukununia ujue!
Mbeya ni kubwa sana, kwa maelezo hayo mafupi huwezi kumpata baba wa mtoto wakomimi ni mwanamke naitwa Rose Mponda namtafuta baba wa binti yangu.. huyo baba nilimfahamu kwa jina moja tu la Doto kwa miaka hiyo ya tisini na nilikutana naye mara moja tu akaniacha na mimba tafadhari kama wewe ni baba na unakumbuka ushawahi kuwa na mtu anaitwa Rose uliniacha na mimba ya huyu mwanao wa kike tafadhari.. hii ni serious cas