Kama wewe ni binti ulizaliwa 2000 jitahidi uolewe kabla Rais Samia hajaachia nchi 2030. Utakuwa na miaka 30

Kama wewe ni binti ulizaliwa 2000 jitahidi uolewe kabla Rais Samia hajaachia nchi 2030. Utakuwa na miaka 30

8758930e6cf8400b6ff7d7532757b39e.png
Hii kitu hawakatai?
 
Mungu saidia hili andiko lako Wajukuu zangu wa mwaka 2000 wasilione

Vinginevyo wanaweza kujikuta wanafanya maamuzi ya anayetaka wampe which is very bad for the future of their children

Lazima wapate Wanaume sahihi (responsible father's) kwaajili ya watoto wao

Kumbukeni Mke mwema hutoka Kwa Bwana
 
Sawa babu Ila wajukuu wa Leo wamebadilika Sana .
 
Nawakumbusha tu mabinti zangu,huu ni mwaka 2025 mwaka wa uchaguzi,SSH anaingia tena ikulu kwa miaka mitano mpaka 2030.

Huo mwaka 2030 ukifika na hujaolewa nikupe tu pole utakuwa sio binti tena vali mmama wa miaka 30
Kwani hao mabinti kuolewa lazima?
 
Sawa babu Ila wajukuu wa Leo wamebadilika Sana .
Ni kweli, japo kadri umri wao unavyosogea ndivyo akili zao zinavyofunguka

Kuna mpenzi nimewahi ku-date naye, alikuwa na tabia za mabinti wengi wa kisasa, lakini aliweza kubadirika na kuwa a good wife material ambapo akipata Mume serious anaweza kumsaidia sana kwenye malezi ya watoto wao na kuinua Uchumi wa familia yao pia

Nilichogundua wengi hu-misbehave kutokana na Rika
 
Back
Top Bottom