Kama wewe ni binti ulizaliwa 2000 jitahidi uolewe kabla Rais Samia hajaachia nchi 2030. Utakuwa na miaka 30

Kama wewe ni binti ulizaliwa 2000 jitahidi uolewe kabla Rais Samia hajaachia nchi 2030. Utakuwa na miaka 30

Ivi mbona kama watanzania tunapenda kuabudu kitu kinaitwa ndoa? Et Kwan lazzma watu kuoa au kuolewa? what so special kuhusu ndoa? Au mie mshamba jaman
😤😤😤
Kuna vitu vya kujifaragua na vingine sio wewe subiri tu. Imawezekana uliyembebea ubavu wake. A nakutafuta na bado haja kupata tu
 
Wamama waliozaliwa 2000s na wakawahi kuzaa, hivi sasa wana watoto wa primary. By
2030, watoto wao watakuwa wanamalizia form 4.
 
Nawakumbusha tu mabinti zangu,huu ni mwaka 2025 mwaka wa uchaguzi,SSH anaingia tena ikulu kwa miaka mitano mpaka 2030.

Huo mwaka 2030 ukifika na hujaolewa nikupe tu pole utakuwa sio binti tena vali mmama wa miaka 30
Unawashauri mabinti waolewe ikiwa wanaume hao wa kuwaoa tayari washapoteza nguvu na mamlaka yao miaka 30 back? Thats a stupididy
 
Mama mbona Mola akimpa umri na kujaalia afya ni mpaka 2035.
Mpaka Sasa ni muhula wa mapito tu hajaanza muhula yake miwili.
Haya ni kutoka kwa walio na majukumu ya kutafsiri katiba.
 
Watoto wa 2010 washaanza kutusumbua mtaani. Hawa wengine wa 2000s kwa mambo wanayofanya mtaani na ukiangalia miili yao mikubwa ni wamama tayari 2030 watakuwa wanajukuu.
Kwel kbs mkuu
 
Mama mbona Mola akimpa umri na kujaalia afya ni mpaka 2035.
Mpaka Sasa ni muhula wa mapito tu hajaanza muhula yake miwili.
Haya ni kutoka kwa walio na majukumu ya kutafsiri katiba.
Sidhan kama atatoboa
 
Wanaume bwana, nyie mnashauriana kutafuta pesa au maokoto, ila wanawake mnashauri tupambane tuolewe . Nyieee duh.
 
Ivi mbona kama watanzania tunapenda kuabudu kitu kinaitwa ndoa? Et Kwan lazzma watu kuoa au kuolewa? what so special kuhusu ndoa? Au mie mshamba jaman
Aloooh! Kataa ndoa hadi kwa mademu sasa
 
Back
Top Bottom