Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
😤😤😤Ivi mbona kama watanzania tunapenda kuabudu kitu kinaitwa ndoa? Et Kwan lazzma watu kuoa au kuolewa? what so special kuhusu ndoa? Au mie mshamba jaman
Kuna vitu vya kujifaragua na vingine sio wewe subiri tu. Imawezekana uliyembebea ubavu wake. A nakutafuta na bado haja kupata tu