Kama wewe ni bodaboda, basi zingatia haya bodaboda mwenzangu!

Kama wewe ni bodaboda, basi zingatia haya bodaboda mwenzangu!

Vijana wengi wanapata madhara hasa mapafu kujaa maji Kutokana na upepo mkali .
Bodaboda wote hawavai makoti mazito Kwaajili ya kujilinda na upepo na hii ni hatari kubwa Sana kiafya
 
Back
Top Bottom