aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Nimeandika tu uhalisia wa site mkuu.We jamaa ulisadiwa kupata kazi humu,Leo hii ushasahau hutaki kusaidia watu?
Mimi siyo injinia wala sina mamlaka yoyote huku saiti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeandika tu uhalisia wa site mkuu.We jamaa ulisadiwa kupata kazi humu,Leo hii ushasahau hutaki kusaidia watu?
Wewe Ni Nani huko site?Nimeandika tu uhalisia wa site mkuu.
Mimi siyo injinia wala sina mamlaka yoyote huku saiti.
sasa mbona uliandika kwa nyodo vile, nikadhani we injinia au foremen, kumbe na ww ulitafutiwa kazi humuhumu alafu umeshakuwa hvo, aisee sio poa kabisa, sasa ungenyaliwa kama ulivonyali ungekuwa wapi kwa sasa?Nimeandika tu uhalisia wa site mkuu.
Mimi siyo injinia wala sina mamlaka yoyote huku saiti.
Nani nimemnyali hapa? mimi nimeandika uhalisia wa site jinsi kulivyo.sasa mbona uliandika kwa nyodo vile, nikadhani we injinia au foremen, kumbe na ww ulitafutiwa kazi humuhumu alafu umeshakuwa hvo, aisee sio poa kabisa, sasa ungenyaliwa kama ulivonyali ungekuwa wapi kwa sasa?
Hapa site mimi ni kiranja wa vibarua wote.Wewe Ni Nani huko site?
acha ufala wewe, kwani watu walipokutafutia kazi walikuwa wanakujua, wakikuwa wanajua utendaji wako? si ni kama waligamble tu, kwa nn wewe usiamini kuwa ukimpa kijana connection ya kibarua toka humu hatafanyakazi vizuri bila usumbufu, mbona wewe ulifanya, au we malaika? mkuu unataka kujisahau mapema, eti uhalisia,Nani nimemnyali hapa? mimi nimeandika uhalisia wa site jinsi kulivyo.
hayo mengine ni juu yenu
ulishachukua wangapi wa kwenye mitandao wakawa hawawezi kazi na kwenye malipo wanaleta vurugu, we mwenyewe ulipata kazi kwa kuokotwa kwenye mitandao, leo unasema wa kuokoteza kwenye mitandao, ama kweli, hii dunia ina mambo.Tunachukua vibarua wanaokuja site kuomba kazi direct, ukisema uokoteze wa mitandaoni mnaweza mkasumbuana baadae kwenye malipo, maana wengi kazi hawawezi ila kwenye malipo analeta vurugu.
Umeambiwa mimi natoa vibarua?acha ufala wewe, kwani watu walipokutafutia kazi walikuwa wanakujua, wakikuwa wanajua utendaji wako? si ni kama waligamble tu, kwa nn wewe usiamini kuwa ukimpa kijana connection ya kibarua toka humu hatafanyakazi vizuri bila usumbufu, mbona wewe ulifanya, au we malaika? mkuu unataka kujisahau mapema, eti uhalisia,
Kama nilivyo kuambia, nakujibu ili uzi wa jamaa utembee, wenye uwezo wa kutoa msaada huenda watauona na watatoa msaada.ulishachukua wangapi wa kwenye mitandao wakawa hawawezi kazi na kwenye malipo wanaleta vurugu, we mwenyewe ulipata kazi kwa kuokotwa kwenye mitandao, leo unasema wa kuokoteza kwenye mitandao, ama kweli, hii dunia ina mambo.
we ndo ujinga umekuzidi kwa kusema wa kuokoteza mitandaoni, wakati we mwenyewe uliokotwa mitandaoni ukapewa kazi, kama hutoi vibarua umeandika kwa nini si ungekaa tu kimya, kwani labda ukatoa contact akajitokeza kijana ukamdirect site kwako akaja akaonana na site foremen akapata kazi ungepungukiwa nn? si ungepata tu baraka, kama ambavo aliyekuokota alipata baraka kwa kukupa kazi, umeshajiona umefika eh?Umeambiwa mimi natoa vibarua?
Yaani hapa nakujibu tu ili uzi wa jamaa utembee na wenye uwezo wa kutoa msaada huenda watauona waje watoe msaada.
Zaidi ya hapo nisingeendelea kukujibu!.
hujasaidia mtu yoyote na huna roho ya kusaidia, kama umesaidia wala husingekuja na hyo kauli yako ya kipumbavu ya kuokoteza mtaani, we ndo wala mkishapata kikabarua mnavimba kama kitufu, unatembea umepanua mikono njia nzima, najaribu kuimagine ungekuwa injinia sijui hapo site kungekuweje tu.Kama nilivyo kuambia, nakujibu ili uzi wa jamaa utembee, wenye uwezo wa kutoa msaada huenda watauona na watatoa msaada.
Mimi nimeshasaidia watu wengi sana, wa mtandaoni na mitaani ambao siwafahamu hata kidogo.
Kwahiyo tuliza kipapa, kwa uwezo wangu nimeasaidia sana.
Kiranja Fanya maajabu hata nafas Moja bhasHapa site mimi ni kiranja wa vibarua wote.
Dau lako sh ngapi kwa mwezi mkuu?Nahitaji msichana wa kazi za ndani,eneo la kazi ni Arusha mjini,nyumba ina mfanyakazi mmoja wa kiume kwa kazi za nje kama garden,kutunza mbwa nk,msichana atawajibika kutunza watoto na usafi wa nyumba na vyombo,mimi baba nipo mbali ila mama yupo,karibuni.
Mkuu hii mbona imekaa kikoloni mno?kuna hekari 500 za kulima kama ww ni mwanaume wa kweli na unaitaji pesa, za kiume karb hekar elfu 70 kula kwa boss location: songea... town mikoan kama dar, mbeya mwanza nauli tunatuma hata kama hatukujui ikitaka naul unatumiwa sasa kula nauli ujue kama usiku ukilala unafanya kazi au unalala,, utapigiswa kaz mpaka useme naul yenu naludisha na hakuna mtu ataekutafuta