TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
- hujatokea kwenye familia ya kitajiri (hujarithi mali)
- huna jina wala umaarufu wowote mjini
- hujawahi kupigiwa chapuo sehemu yoyote
- huna kipaji (sio msanii, mchezaji nk)
- hujawahi kufanya biashara haramu
- hutumii ndumba
- humtegemei mtu yoyote (sio marioo)
- hujawahi kudhulumu mali ya mtu
Lakini;
Pamoja na hayo yote umetusua kimaisha! Unaishi fresh tu, mambo yamekunyookea na unasongesha life bila shida. Jipigepige kifuani halafu comment sema "mimi ni mwanaume!!"