hujatokea kwenye familia ya kitajiri (hujarithi mali)
huna jina wala umaarufu wowote mjini
hujawahi kupigiwa chapuo sehemu yoyote
huna kipaji (sio msanii, mchezaji nk)
hujawahi kufanya biashara haramu
hutumii ndumba
humtegemei mtu yoyote (sio marioo)
hujawahi kudhulumu mali ya mtu
Lakini;
Pamoja na hayo yote umetusua kimaisha! Unaishi fresh tu, mambo yamekunyookea na unasongesha life bila shida. Jipigepige kifuani halafu comment sema "mimi ni mwanaume!!"