Kama wewe ni maskini ni vyema utambue mapema kuwa rasilimali za nchi hii hazikuhusu, ndio maana Sheria kali za kulinda rasilimali ziko kwaajili yako

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hello!

Kama wewe maskini please, please, please usizisogelee hizi rasilimali za taifa .

Ni hatari zaidi ya kutupia kitimoto kwenye kusanyiko la Eid.

Utauliwa na vijana wa TAWA, TANAPA, au TFS na ukinusurika nao utaozea jela.
Ni ushauri tu.

Masikini ndie rasilimali yenyewe unahusikaj na rasilimali zingine, wa kupigwa mnada tu Wajasiliamali wakipatika Tena bora sokwe na nyani na wanyana wengine sio masikini
 
Masikini ndie rasilimali yenyewe unahusikaj na rasilimali zingine, wa kupigwa mnada tu Wajasiliamali wakipatika Tena bora sokwe na nyani na wanyana wengine sio masikini
That's why I told all poor tanzanians to stay far from the natural resources of their country
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…