Niliua kiboko mto mmoja hv nyanda za juu kusini nikahakikisha namla kimya kimya mpaka nikammaliza juz nimetega swala nikamuuza kwa bei poa ya elfu 50 na sizan kama nitashikwa coz nakula nao na nakaa karibu na nationalpark akitoka tu nje mnyama halali yangu mana wanyama wa mungu hawa masheria kibao hayana msing utazan mmeumba nyny churaaa nini na sitaj ipo wap