apo ukichanganya hio jero na pesa zako unakuta nusu haipo shwaaah🤣🤣🤣kuna siku nimeenda dukani kununua bidhaa akaja jamaa anataka specifically biskuti za miatatu (300) na mkononi ana jero, muuza duka akageuka mbogo akasema either anunue biskuti za jero au aondoke na hela yake.... Nilishangaa sana kumbe ni hizi mambo za ushirikina jamaa anaogopa chumaulete.
Ametuonea mno jamani ingawa kuna kaukweli ndani yakeNdo Njombe utuweke namba 1 😹🤣
Kwani huwezi kufanya mganga wako mkuu akawa Mungu.● Njombe
●Iringa
●Mbeya
●Katavi
● Mwanza
●Tabora
hio mikoa kama huna mganga wa uhakika bora uache tu kufanya biashara au uende dar
☆Hii mikoa ni kawaida mfanyabiashara kunukia dawa za kienyeji muda wote,wkt wafanya biashara wa dar wao wananukia unyunyu tu
☆Hii mikoa ni kawaida fremu kudekiwa na maji yenye dawa za kienyeji.
☆ Kwenye chuma ulete ndo kwenyewe
☆ hii mikoa ukiomba chenji huwezi kupewa sharti ununue kitu.
Taja mikoa mingine yenye tabia za kishirikina kwenye biashara
We JAMAA NDO ulitakiwa uweke listi Nimeshangazwa ETI songea na kigoma hazipoOngeza na kigoma