Kama wewe ni mke wa mtu, acha pombe

naanzaje kuwa na mwanamke mnywaji pombe wakati hizo soda tu niliachaga kunywa kitambo sana....kuna mke wa mtu aliwahi kuniambia anataka kuja ghetto kwangu lakini nihakikishe nimemuandalia 'Wine' ...japokuwa sifahamu hata kwa chupa tu inafananaje lakini nilijiuliza sana kwanini achague hicho kilevi,nilikuja kujua baadae sana kama inaongeza ashki kwa mnywaji
 
[emoji1364][emoji1364]
 
SISI WANAUME HATUPENDI WANAWAKE/WAKE ZETU WAENDE BAR LAKINI TUNATAKA TUKIENDA BAR TUWAKUTE WANAWAKE😊😊
 
Ni hatari sana mwanamke kuwa mlevi,
MĆ ana Sina hakika wakati wakunyanduliwa Kama atakumbuka Kinga zaid ya kuuza mechi
 
Mtalaumu pombe bure tatizo ni mtu mwenyewe....binafsi mm Huwa na KIPIMO changu...Huwa sizidishi....pombe zinalaumiwa bure....
 
hapa enyewe nina ahadi na mke wa mtu anataka nikampe pombe wikendi hii....sasa sijui itakuwaje ,mnanitisha au??
 
Hoja fikirishi hii...

Huwezi kuishi ndani na mtu mlevi, hao watoto watafundishwa na nani?
 
Haisaidii, omba upewe mke mwenye hofu ya Mungu tu.Mengine ni mbwembwe tu, agiza kongoro tukulipie
 
Mdada akishabugia WINE, KONYAGi au K-VANT ya kutosha, yy ndo anakuwa mtongozaji, na anakuwa tayari kwa shoo, hakuna haja ya maandalizišŸ˜‹
 
Wanaume hatutaki wanawake wanaoenda Bar,ila tukienda bar tanataka tuwakute wanawake
 
Mdada akishabugia WINE, KONYAGi au K-VANT ya kutosha, yy ndo anakuwa mtongozaji, na anakuwa tayari kwa shoo, hakuna haja ya maandalizi[emoji39]

Mkuu ni wine gani hyo maana...
Nataka niwe na nunua wine kulingana na mgeni nisije kosa heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…