Kama wewe ni mke wa mtu, acha pombe

Kama wewe ni mke wa mtu, acha pombe

Inauma na kusikitisha sana pale ninapomuona mwanamke tena mke wa mtu akinywa pombe mbaya zaidi akishinda Bar au night clubs akinywa. Ukiona hivyo my bro jua tu, unachapiwa, sehemu hizo ni mbya sana, nikama unachezea shilling kwenye tundu la choo. Hamna mjanja kwenye pombe, pombe haina mwenyewe.

Luth(Lutu) mwenyewe kwenye biblia alifanyishwa tendo la ndoa na binti zake akiwa amelewa hajitambui, Nuhu yeye hata kujitambua kua yupo uchi alishindwa, hata mtoto wake kumuona uchi wake, wewe nani uwe imara kiimani kuwazidi hao watumishi wa Mungu?!

Tena kama mme na mke wote ni wanywaji basi tambua wote ni wazinzi, mbaya zaidi ukute mwanamke ni mpenda wine sana[emoji1430]

Hakuna mwanamke mwenye msimamo duniani, inategemeana na juhudi, uwezo na hali ya mtongozaji. Binafsi siku nikitaka kuoa nitamuomba Mungu sana anipatie Mwanamke asie mlevi.

Uzi tayari
Katka vigezo vyangu wakti natafuta mke wa kuoa kigezo cha juu kuliko vyote ktk orodha ilikuwa MWANAMKE ASIE KUNYWA KABISAA KILEVI CHCHTE nashukuru Mungu alinipatia mke wa aina hiyo
 
Mwanamke hata nimuheshimu vp siku nikigundua ni mlevi tu namuweka kwenye kundi la takataka
 
Hilo jambo lipo wazi kabisa, hata mimi mpaka sasa nimenyandua wake za watu kutoka Bar na Nights clubs mbalimbali wanafika 10, hasa wakilewa pombe zao ni juhudi zako za kumfikisha kitandani tu

NB;Usitoe Ruhusa kwa mke wako kwenda Bar and Nights Club bila escorts yako kama unampenda
 
yeah, upo sahihi bro
nimetembelea sehem nyingi kama hizo
walahi watu wanazini sana
nimeshuhudia wake wengi za watu wanaliwa kimasihara kabsa
soon ntaleta uzi wa my friend alie pangiwa apartment na mke wa mtu ili awe anamnyandua tu.
Mume wake ni mtu wa safari sana au?
 
Mbona hamko serious wanaume kikao cha mwisho si tulikubaliana tusioe
 
Kwanza kama unafikiri vizuri lazima uone msingi wa maadili ya mwanamke mlevi kuwa ni questionable.

Kwanza unapaswa kujiuliza kuwa, hali, desturi na muktadha wa mtindo wa maisha ya mwanamke wa kiafrika aliyekulia katika familia yenye kuzingatia angalau kwa kiwango kidogo maadili kwenye malezi hauwezi kum-expose katika uwezekano wa kujifunza kunywa pombe.

ALIANZA LINI? (akiwa mwanafunzi au alipojitegemea). ALIANZAJE?? je alishawishiwa?? alishawishiwa na nani? Katika mazingira gani? kama amelelewa vizur anaweza ku-mess kuingia kwny makundi mabaya?? Au alianza kurubuniwa na mpnz?? je, tamaa zilimfanya aanze kujichanganya kwenye kwny kumbi za starehe na kujikuta akiingia katika jaribu hili?? Alifundishwa nyumbani?

Uki-set hii questionare vizur na ukaichambua utakachokutana nacho aidha ni MSINGI MBOVU WA MAADILI au UJEURI NA KUSHINDIKANA. je, mtu huyu utaweza kumuamini ashiriki katika kujenga na kusimamia mustakabali wa watoto wako? Kama unafkir sawasawa hapa lazima ukanganyike.

Kama mtu kajengewa misingi mizuri ya maadili hata kama akitoka katika usimamizi wa wazazi hawez kutoka katika mstari. Pombe zina athari nyingi kuliko faida kwa mwanamke. Mwanamke mwenye ujasiri wa kwenda kuketi na wanaume bar bila aibu na kulewa hata kama ana mume wake,huyo hafai.

Ukioa mwanamke anakunywa pombe lazima ujilaumu, ni suala la muda tu. Licha ya kugongewa tu wanawake walevi huwa wana kaujeuri fulani na kuwazoea wanaume kwa sababu amezoea kukaa nao bar. Kawaida mwanamke hata kupita njia ambayo wamekaa kundi la wanaume hata 5 ni ngumu kupita kwa kujiamini, sembuse kukaa nao?? Pia kama mama ni mlevi basi tegemea na wanao kulewa.
 
Inauma na kusikitisha sana pale ninapomuona mwanamke tena mke wa mtu akinywa pombe mbaya zaidi akishinda Bar au night clubs akinywa. Ukiona hivyo my bro jua tu, unachapiwa, sehemu hizo ni mbya sana, nikama unachezea shilling kwenye tundu la choo. Hamna mjanja kwenye pombe, pombe haina mwenyewe.

Luth(Lutu) mwenyewe kwenye biblia alifanyishwa tendo la ndoa na binti zake akiwa amelewa hajitambui, Nuhu yeye hata kujitambua kua yupo uchi alishindwa, hata mtoto wake kumuona uchi wake, wewe nani uwe imara kiimani kuwazidi hao watumishi wa Mungu?!

Tena kama mme na mke wote ni wanywaji basi tambua wote ni wazinzi, mbaya zaidi ukute mwanamke ni mpenda wine sana[emoji1430]

Hakuna mwanamke mwenye msimamo duniani, inategemeana na juhudi, uwezo na hali ya mtongozaji. Binafsi siku nikitaka kuoa nitamuomba Mungu sana anipatie Mwanamke asie mlevi.

Uzi tayari
Nimecopy, nita print kwa faida ya leo na kesho.
 
Baada ya kuoa na ukakaa kwenye ndoa walau miaka 5 unaweza kuja na post tofauti na hii
 
Tatizo wameweka ngono tu ndo ya kumfukuzisha mke ....mwanamke mlevi mrudishe kwao....mwanamke mlevi ni sumu hata kwa watoto hawez Lea vyema familia yake
 
Naanzaje kuacha sasa. Mr mwenyewe ananinunulia na siku nikiacha pombe anaweza kuniacha akatafute anae kunywa.
Mitungiiii blantiiiii mikasiiiii ndo mpango mzima.
Km mnakunywa nae hakuna taabu hapo!!,Shida ipo Wewe utakapoamua kwenda kunywa peke yako, pombe ikikupanda kichwani na nyege nazo zinakuwa juu, hivyo ni rahisi kuliwa kimasihara.
 
Back
Top Bottom