Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Acheni walezi waoane wao kwa wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitaa tunawaona hukuHii hayayake ya mwisho nimekuelewa sana; ndio ukweli wenyewe huo
sio kila mwanamke ana cheat, njoo huku kwetu mikoani ndo utajioneaKama vp kila mtu afanye Mambo yake kama na kuliwa aliwe tu na kama Kula we Kula msipangiane,
Halafu suala la wanawake kusuuziwa lungu halikuanza leo yangu enzi za wafalme, na masultani wake zao waliliwa tena wala sio kwa kulewa pombe.
Mwanamke hachungwi jo. Fanya yako, shauri yako
[emoji848][emoji848][emoji848]Kwanza kama unafikiri vizuri lazima uone msingi wa maadili ya mwanamke mlevi kuwa ni questionable.
Kwanza unapaswa kujiuliza kuwa, hali, desturi na muktadha wa mtindo wa maisha ya mwanamke wa kiafrika aliyekulia katika familia yenye kuzingatia angalau kwa kiwango kidogo maadili kwenye malezi hauwezi kum-expose katika uwezekano wa kujifunza kunywa pombe.
ALIANZA LINI? (akiwa mwanafunzi au alipojitegemea). ALIANZAJE?? je alishawishiwa?? alishawishiwa na nani? Katika mazingira gani? kama amelelewa vizur anaweza ku-mess kuingia kwny makundi mabaya?? Au alianza kurubuniwa na mpnz?? je, tamaa zilimfanya aanze kujichanganya kwenye kwny kumbi za starehe na kujikuta akiingia katika jaribu hili?? Alifundishwa nyumbani?
Uki-set hii questionare vizur na ukaichambua utakachokutana nacho aidha ni MSINGI MBOVU WA MAADILI au UJEURI NA KUSHINDIKANA. je, mtu huyu utaweza kumuamini ashiriki katika kujenga na kusimamia mustakabali wa watoto wako? Kama unafkir sawasawa hapa lazima ukanganyike.
Kama mtu kajengewa misingi mizuri ya maadili hata kama akitoka katika usimamizi wa wazazi hawez kutoka katika mstari. Pombe zina athari nyingi kuliko faida kwa mwanamke. Mwanamke mwenye ujasiri wa kwenda kuketi na wanaume bar bila aibu na kulewa hata kama ana mume wake,huyo hafai.
Ukioa mwanamke anakunywa pombe lazima ujilaumu, ni suala la muda tu. Licha ya kugongewa tu wanawake walevi huwa wana kaujeuri fulani na kuwazoea wanaume kwa sababu amezoea kukaa nao bar. Kawaida mwanamke hata kupita njia ambayo wamekaa kundi la wanaume hata 5 ni ngumu kupita kwa kujiamini, sembuse kukaa nao?? Pia kama mama ni mlevi basi tegemea na wanao kulewa.
Thamani ya mwanamke mlevi ni ndogo sana.
Ukweli usemwe tu..Wanaume mna double standards sanaa yani
DahMimi mwanamke mlevi anipite kushoto jamani, mwanamke akishalewa huwa anajizima data kichwani mazima.
Huko kwetu vijijini Kuna mwanamke alikuwa anatembea Usiku mida mibovu akiwa amelewa,ghafla alishtukiwa na wahuni wawili wa kiume wakamrubuni wakambeba kwa pikipiki yao wakampeleka kichakani wakamfanyia collaboration Moja hatari Sana kudadeki!
Unaambiwa mwanamke aliliwa na majamaa toka saa Saba Usiku Hadi saa kumi alfajiri ndo wanamuachia.
Mwenyewe alisema alirudi kwake anachechemea hajiwezi kbsa.
Kuna kunywa Kwa relaxation na ulevi inabidi muweze ku distinguish between unywaji na ulevi....Mwanamke hata nimuheshimu vp siku nikigundua ni mlevi tu namuweka kwenye kundi la takataka
Itakua mkuu maana mimi sinywi pombe kwahiyo sielewiUkweli usemwe tu..
Mwanamke chapombe akishalewa anapoteza uwezo wa kujisimamia, analiwa na yeyote, muda wowote na popote!