Kwanza kama unafikiri vizuri lazima uone msingi wa maadili ya mwanamke mlevi kuwa ni questionable.
Kwanza unapaswa kujiuliza kuwa, hali, desturi na muktadha wa mtindo wa maisha ya mwanamke wa kiafrika aliyekulia katika familia yenye kuzingatia angalau kwa kiwango kidogo maadili kwenye malezi hauwezi kum-expose katika uwezekano wa kujifunza kunywa pombe.
ALIANZA LINI? (akiwa mwanafunzi au alipojitegemea). ALIANZAJE?? je alishawishiwa?? alishawishiwa na nani? Katika mazingira gani? kama amelelewa vizur anaweza ku-mess kuingia kwny makundi mabaya?? Au alianza kurubuniwa na mpnz?? je, tamaa zilimfanya aanze kujichanganya kwenye kwny kumbi za starehe na kujikuta akiingia katika jaribu hili?? Alifundishwa nyumbani?
Uki-set hii questionare vizur na ukaichambua utakachokutana nacho aidha ni MSINGI MBOVU WA MAADILI au UJEURI NA KUSHINDIKANA. je, mtu huyu utaweza kumuamini ashiriki katika kujenga na kusimamia mustakabali wa watoto wako? Kama unafkir sawasawa hapa lazima ukanganyike.
Kama mtu kajengewa misingi mizuri ya maadili hata kama akitoka katika usimamizi wa wazazi hawez kutoka katika mstari. Pombe zina athari nyingi kuliko faida kwa mwanamke. Mwanamke mwenye ujasiri wa kwenda kuketi na wanaume bar bila aibu na kulewa hata kama ana mume wake,huyo hafai.
Ukioa mwanamke anakunywa pombe lazima ujilaumu, ni suala la muda tu. Licha ya kugongewa tu wanawake walevi huwa wana kaujeuri fulani na kuwazoea wanaume kwa sababu amezoea kukaa nao bar. Kawaida mwanamke hata kupita njia ambayo wamekaa kundi la wanaume hata 5 ni ngumu kupita kwa kujiamini, sembuse kukaa nao?? Pia kama mama ni mlevi basi tegemea na wanao kulewa.