Kama wewe ni mkongwe taja majina yao

Mr Daudi, Mrs Daudi, Musa, Neema and Baraka.
...umesahau jina la mbwa wao. Ukilipatia basi hutashindwa kusema Tola gizani alikuwa anakula chakula gani?
 
Mi ni mkongwe sana ila kitabu sikijui..,,nimeshangaa sana
Kitabu cha somo la kingereza miaka ya 80 na 90, kuanzia darasa la tatu hadi la saba. Tulikuwa tunamsoma Mr Daudi na familia yake. Akina Musa walikuwa wanasoma Mtakuja primary school kama sikosei.
 
Kitabu cha somo la kingereza miaka ya 80 na 90, kuanzia darasa la tatu hadi la saba. Tulikuwa tunamsoma Mr Daudi na familia yake. Akina Musa walikuwa wanasoma Mtakuja primary school kama sikosei.
Hapo nimechemka aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…