Kama wewe ni mkongwe taja majina yao

Kama wewe ni mkongwe taja majina yao

Ila uchelewaji ndo taaluma yenu hasa mlio kuwa mnaishi mashuleni pamoja na wizi wa vitabu
Weeeh sio kwa mama yangu!!! Huchelewi kwenda shule wala kutoka shule. Na hatukuwahi kuishi nyumba za shule.
 
Screenshot_20240209_201910_Google.jpg
 
Kitabu cha somo la kingereza miaka ya 80 na 90, kuanzia darasa la tatu hadi la saba. Tulikuwa tunamsoma Mr Daudi na familia yake. Akina Musa walikuwa wanasoma Mtakuja primary school kama sikosei.
Mnamaliza shule na Musa ,baraka ndio anaingia la kwanza
 
Back
Top Bottom