Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 86,410 Reaction score 169,862 Feb 9, 2024 #21 mtwa mkulu said: Ila uchelewaji ndo taaluma yenu hasa mlio kuwa mnaishi mashuleni pamoja na wizi wa vitabu Click to expand... Weeeh sio kwa mama yangu!!! Huchelewi kwenda shule wala kutoka shule. Na hatukuwahi kuishi nyumba za shule.
mtwa mkulu said: Ila uchelewaji ndo taaluma yenu hasa mlio kuwa mnaishi mashuleni pamoja na wizi wa vitabu Click to expand... Weeeh sio kwa mama yangu!!! Huchelewi kwenda shule wala kutoka shule. Na hatukuwahi kuishi nyumba za shule.
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Feb 9, 2024 #22 mtwa mkulu said: View attachment 2898847 Click to expand...
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,067 Reaction score 4,434 Feb 19, 2024 #23 Atoto said: Kitabu cha somo la kingereza miaka ya 80 na 90, kuanzia darasa la tatu hadi la saba. Tulikuwa tunamsoma Mr Daudi na familia yake. Akina Musa walikuwa wanasoma Mtakuja primary school kama sikosei. Click to expand... Mnamaliza shule na Musa ,baraka ndio anaingia la kwanza
Atoto said: Kitabu cha somo la kingereza miaka ya 80 na 90, kuanzia darasa la tatu hadi la saba. Tulikuwa tunamsoma Mr Daudi na familia yake. Akina Musa walikuwa wanasoma Mtakuja primary school kama sikosei. Click to expand... Mnamaliza shule na Musa ,baraka ndio anaingia la kwanza