CUTE
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 1,229
- 591
u made ma dayKumove on wajibu, maana ukiiacha sana inaweza kuchacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
u made ma dayKumove on wajibu, maana ukiiacha sana inaweza kuchacha
Mmmm' NEYLU HUO SASA NI UONGO WA WAZI WAZI!Mie nina miaka 31, huyu niliyenae ni wa tatu na wa mwishooo...!
Mi ni mwanaume ninaeuaga ujana,naelekea kwenye utu uzima,halafu simjui mwanamke
Mmmm' NEYLU HUO SASA NI UONGO WA WAZI WAZI!
Ni kama unavyoniona kwenye picha yangu hapo juualaaa..kifua chako kina upana wa cm ngapi vile?
Huwezi kusema wa mwisho coz the future cant be predicted"Sasa hutaki?? Unataka nikudanganye kwamba ni wa kwanza? Ni wa tatu na wa mwisho..HABARI NDIO HIYO
Miezi? Wiki tu... tena ukiwa na saundi za ukweli utakula mpk uchokemi najitafunia tu mpaka sasa nimepoteza idadi na nina kama 30. tatizo wanawake wa siku hizi, wepesiii yaani hata wale wagumu ukifukuzia miezi mi 2 hadi mi 3 wanakuwa washakupa.