Kama wewe ni mkweli na muwazi soma hii'

Kama wewe ni mkweli na muwazi soma hii'

Mimi kwa ukweli navyowajua wanaume ni noma bwana..mwanaume anaweza kufanya asubuhi mchana jioni na usimgundue hata ukimwona... mara nyingi wanawake wamekuwa wakilaumiwa lakini si wafanyaji kiviile...chezea midume weye......
 
Sasa hutaki?? Unataka nikudanganye kwamba ni wa kwanza? Ni wa tatu na wa mwisho..HABARI NDIO HIYO
Huwezi kusema wa mwisho coz the future cant be predicted"
 
mi najitafunia tu mpaka sasa nimepoteza idadi na nina kama 30. tatizo wanawake wa siku hizi, wepesiii yaani hata wale wagumu ukifukuzia miezi mi 2 hadi mi 3 wanakuwa washakupa.
Miezi? Wiki tu... tena ukiwa na saundi za ukweli utakula mpk uchoke
 
Back
Top Bottom