kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Ndugu wanajamvi!
Pokeeni salamu zangu
Juzi nilikuwa mkoa wa.mwanza tena center kwenye kijiwe flani.
Nikawa namsikia mtendaji mmoja anaongea na mtendaji mwenzake
Kwamba wamepewa barua za usimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mtaa.
Mwenzake akasema yeye hajateuliwa kisimamia uchaguazi
Akamuambia Mh Diwani wa kata hiyo amezuia barua yake eti kwa sababu ni CHADEMA kwa kisingizio kwamba atamletea matatizo kwenye kata yake na barua yake ilitoka kwa mujibu wa sheria kutoka kwa Mkurugenzi.
Hivyo CDM na vyama vingine vya upinzani Mlifatilie hili maana mambo yanapikwa vibaya sana .
Futilieni hili.
Thanks