Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,449
- 3,287
Wakubwa nimewaza tu kwa sauti tunakoelekea mambo yanaenda kuharibika pesa itakuwa adimu sana na pengine serikali ikashindwa kulipa mishahara, ikitolea hivyo mabenki yatapoteza imani na watumishi hivyo hawatakopesha.
Ukikopa sasa hivi anguko la uchumi likitokea ukutwe una ka hela unaweza kubangaiza kufanya jambo likakuletea vihela vya kula kila siku
Ukikopa sasa hivi anguko la uchumi likitokea ukutwe una ka hela unaweza kubangaiza kufanya jambo likakuletea vihela vya kula kila siku