Kuna watu mmetuka ila mtanikumbuka, sijalenda D9 pekee, nchi hii inaenda kuwa ngumu sana kwa sababu nba 1 ni raia wa nchi jirNi na ameita ndugu zake kuja kumsaidia kawajaza kila mahali awamu hii karudi na lengo moja tu KUPIGA na atazipiga haswa, nina wasiwasi kuna mda serikali ikashindwa, kulipa mishahara, muda huo watumishi watasimamishwa kazi zibaki tassisi za lazima km hospitali msjeshi nk. Sisi tusio na miradi mda huo utaishije na kaya yako. Ukiwa umekopa 30mil unaexa kuchomokea hata nchi jirani ukawa wanpiga mishe unatuma hela nyumbani