Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Aug 23, 2025 #61 Ushauri mzuri
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,569 Reaction score 43,614 Aug 23, 2025 #62 Madihani said: Chukueni rushwa pesa nyingi zipo kwa watu mnaowahudumia. Acheni kukopa tumieni njia mbadala, kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Click to expand... Mwalimu achue rushwa wapi.
Madihani said: Chukueni rushwa pesa nyingi zipo kwa watu mnaowahudumia. Acheni kukopa tumieni njia mbadala, kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Click to expand... Mwalimu achue rushwa wapi.
G gwapole JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 2,599 Reaction score 4,674 Aug 23, 2025 #63 gabriel Heinze said: Moja ya komenti bora, ahsante kwa ushauri kaka. Click to expand... Tupo pamoja
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 24, 2025 #64 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Cc: Mahondaw
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,728 Reaction score 49,762 Aug 24, 2025 #65 Ushauri mtamu sana huu. Ningeupata ushauri huu mapema ingekuwa njema sana
Sisyphus JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,967 Reaction score 8,763 Aug 24, 2025 #66 Sifa ya ushauri ni kwanza uombwe, pili kwanini kila mtu anahisi anauelewa ama haki ya kumshauri watumishi wa umma , ambao kitakwimu wapo laki 6 ilihali kuna kundi la watu zaidi ya mil 55 ambao wangefaidika zaidi na ushauri
Sifa ya ushauri ni kwanza uombwe, pili kwanini kila mtu anahisi anauelewa ama haki ya kumshauri watumishi wa umma , ambao kitakwimu wapo laki 6 ilihali kuna kundi la watu zaidi ya mil 55 ambao wangefaidika zaidi na ushauri