Kama wewe ni muajiriwa na kipato chako na taarifa zako limited sio lazima uanzishe biashara. Utalia na kusaga meno

Kwasababu unaogopa kufanya kitu nje ya kilimo na ufugaji unahisi utachoma mtaji na huko kwenye kilimo na ufugaji unahisi hautachoma mtaji.
Hahah sio kweli nimefanya vingi tu nnje na kilimo na ufugaji ila navutiwa zaidi na kilimo na ufugaji japo sijawahi fanya kibiashara zaidi ya chakula tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…