min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hahah sio kweli nimefanya vingi tu nnje na kilimo na ufugaji ila navutiwa zaidi na kilimo na ufugaji japo sijawahi fanya kibiashara zaidi ya chakula tu mkuu.Kwasababu unaogopa kufanya kitu nje ya kilimo na ufugaji unahisi utachoma mtaji na huko kwenye kilimo na ufugaji unahisi hautachoma mtaji.