Kama wewe ni muajiriwa na kipato chako na taarifa zako limited sio lazima uanzishe biashara. Utalia na kusaga meno

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wengi mnaona biashara ni kama mgodi.

Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner.

Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa za kutosha nje ya system ila wale wenzetu upo chini ya salary na malupu lupu, baba na mama wanauza pemba kijijini, unakaa na mdogo wako alie form 3, etc inabidi ufiikirie kwa kina

Chukua hio pesa kukiwa na uhakika wa kupata mzigo huo, wenye mteja aliepo tayari na faida ambayo umeshaihesabu kuwepo ukisha uza mzigo huo.

Usichukue pesa na kuenda kufungua duka ili ufurahishe nafsi yako au kwa hofu ya kuwa hautapiga hatua ya kimaisha kubwa kama hauta ongeza vyanzo vya mapato.
 
Kila mtu na kismati/nyota yake. Akifeli atakuwa amepata somo litakalomwezesha kufanikiwa mbeleni
 
siku nimehudhuria semina ya UTT ndio nikajua wengi tunaweka pesa bank na bado kuna makato. Wakati kuna soko la fedha kama fixed deposits ama bonds za serikali ambazo zinatoa riba kwa muwekezaji

Kwa hiyo naamini kama mtu hana ujuzi wala udhoefu wa biashara. Aanze mdogo mdogo ili kulijua soko na wateja kabla ya kuwekeza milioni kumi kwa biashara ambayo huijui.

Hivyo ni aidha uanze mdogo mdogo au uwekeze kwenye biashara zenye risk ndogo kama hizo bonds ama kuizika pesa kwenye nyumba au viwanja maana thamani yake inapanda na si kushuka.
 
HAKIKA MKUU💯💯💯💯💯
 
KUna kitu kimekupata huko Kalinzi?
Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner.

Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa za kutosha nje ya system ila wale wenzetu upo chini ya salary na malupu lupu, baba na mama wanauza pemba kijijini, unakaa na mdogo wako alie form 3, etc inabidi ufiikirie kwa kina

Chukua hio pesa kukiwa na uhakika wa kupata mzigo huo, wenye mteja aliepo tayari na faida ambayo umeshaihesabu kuwepo ukisha uza mzigo huo.

Usichukue pesa na kuenda kufungua duka ili ufurahishe nafsi yako au kwa hofu ya kuwa hautapiga hatua ya kimaisha kubwa kama hauta ongeza vyanzo vya mapato.
 
Kuna comment mtu unasoma hadi unabubujikwa machozi, hii ni mojawapo.

Kwakweli kufeli ndio kujifunza

"Mafanikio hayaji katika njia iliyonyooka" 🤝
😂😂😂😂

Endeleeni tu

Motivational speaker anakula hela ya kiingilio weee unarudi kuuza nyumba ya urithi uka bet, kwa kusema kufeli sio kuanguka

😂😂😂🥳
 
Back
Top Bottom