Kama wewe ni mwana JF halafu upo online sasa hivi saa 6 usiku nijibu unafanya nini?

Nawaza kifo tu baada ya habari ya masogange r.I.p
Mhhh we mama ukiwaza kifo utajikuta asubuhi inakukuta hujafumba macho yaani utakesha maana utaanza kupiga hesabu kibao,utaanza kujaribu kubana pumzi ili kuona namna utakavyokuwa unakufa,Masogange mwache atangulie tu na sie tutamfuata kesho.R.I.P Masogange.
 
Wewe ni mwanamke jasiri shupavu imara na mwenye kujiamini nilikuwa nakuchukulia poa lkn umenifunza kitu big up kwako

Msalimie G wako
Jeiefu endelea kujifunza dunia kubwa hii,kuwa na moyo mgumu na uvumilivu,usione hivi nishapita milima na mabonde hakuna cha kunitikisa kamwe,

Almashukra salamu zimefika habbityy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…