bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Mhhh we mama ukiwaza kifo utajikuta asubuhi inakukuta hujafumba macho yaani utakesha maana utaanza kupiga hesabu kibao,utaanza kujaribu kubana pumzi ili kuona namna utakavyokuwa unakufa,Masogange mwache atangulie tu na sie tutamfuata kesho.R.I.P Masogange.Nawaza kifo tu baada ya habari ya masogange r.I.p